Ondoa nyenzo zote za kukinga.
Nenda kwenye hatua ifuatayo.
Kumbuka:
Iwapo umekamilisha kusakinisha kichapishi, bofya [Ruka], na kisha ufuate maagizo yaliyo kwenye skrini ili kusakinisha programu ya kichapishi.