Muhimu: |
Tumia chupa za wino zilizokuja na kichapishi chako.
Epson haiwezi kutoa hakikisho la ubora au utegemezi wa wino usio halali. Matumizi ya wino usio halali yanaweza kusababisha ubaribifu ambao haushughulikiwi na dhamana za Epson.
Usitikise chupa za wino kwa nguvu sana au kuzingonganisha kwa kuwa hii inaweza kusababisha uvujaji.
Usiguse juu ya chupa ya wino baada ya kuondoa kifuniko; la sivyo unaweza kumwagikiwa wino.
|