Funga kifuniko cha tanki la wino kwa njia salama.
Muhimu:
Usiache chupa ya wino ikiwa imeingizwa; la sivyo huenda chupa ikaharibika au huenda wino ukavuja.