Weka kichapishaji kwenye sakafu bapa na thabiti kisha uunganishe kebo ya umeme na uichopeke ndani.
Kumbuka:
Weka bidhaa mbali na jua au kifaa cha kupoza au kupasha joto.