Washa printa ukishikilia chini kitufe cha , na kisha achilia vitufe wakati taa za nishati zinapomweka. Ruwaza ya kikagua nozeli huchapishwa.
Kumbuka:
Huenda ikachukua muda kiasi kuanza kuchapisha ruwaza ya kikagua nozeli.