Unapokuwa umeshikilia chupa ya wino wima, pindua kifuniko polepole ili uifungue.
Muhimu:
Usitikise chupa za wino kwa nguvu sana au kuzingonganisha kwa kuwa hii inaweza kusababisha uvujaji.
Usiguse juu ya chupa ya wino baada ya kuondoa kifuniko; la sivyo unaweza kumwagikiwa wino.