Maelezo kuhusu Muunganisho wa Intaneti
Programu ya EPSON huunganisha kwenye intaneti kwa malengo yafuatayo:
Kusakinisha vipengele vipya
Ikiwa ujumbe wowote wa Ngome unatokea wakati wa usakinishaji, chagua [Zuia] au [Ruhusu].