Hitilafu ya kiolesura imetokea.
Huwezi kuunganisha printa na kompyuta yako kupitia mtandao katika mazingira ya sasa ya mtandao.
Chagua muunganisho wa USB wa waya badala yake au chagua muunganisho wa mtandao tena baada ya kuthibitisha kwamba mtandao unafanya kazi vizuri.